Breaking News

MZEE UNYAGO AFARIKI DUNIA HOSPITALI LUGALO



 Mwigizaji Mkongwe wa Filamu Nchini Tanzania, Issa Joseph Almaarufu kama Mzee Onyango amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 11/6/ 2026 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa wiki mo

kwa mujibu wa Mtoto wa marehemu, Joshua Joseph Issa amesema Baba yake alikuwa akiugua kwa muda na umauti ulimkuta majira ya saa 8 usiku akiwa Hospitalini hapo.

 Aidha Msiba wake unatarajiwa kufanyika  Kawe jirani na Viwanja vya Gofu vya Lugalo,  ambapo kwa sasa familia bado inaendelea na vikao vya maandalizi ya mazishi na  taarifa rasmi kuhusu  taratibu za mazishi zitatolewa baadaye kwa watu wote.



5 comments: